Natafuta mwanamke mweupe, nampataje?

Natafuta mwanamke mweupe, nampataje?

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,902
Reaction score
15,928
Aslam aleykum ndugu zanguni, mimi ni kijana ninayetafuta namna ya kuuaga ukapera baada ya shinikizo kubwa la mama na dadazangu maana inaonekana umri unayoyoma ila sijawahi kuwatambulisha wifi hata mmoja.

Kuoa nataka ila nnapata shida sana ya kumpata mwanamke nnayemtaka. Mimi siku zote nna ndoto ya kuoa mwanamke mrefu mweupeee ili Mungu akijaalia nibadilishe rangi ya ukoo, maana mimi ni mweusi kama mpingo, vivyohivyo kwa wanaukoo wengine, changamoto niliyonayo kwenye kutimiza ndoto yangu ni kumjua mwanamke mweupe by nature, maana nikiangalia sikuhizi mjini wanawake karibu wote ni weupe, na weupe wenyewe wameupata ukubwani.

Swali, nitajuaje yupi ni mweupe wa asili?
 
Unaonaje ukitafuta mzungu, mwarabu, mhindi au mchina, maana hao ndio weupe wao hauna mashaka.

Haya magumegume ya nyumbani unaweza dhani mweupe kumbe jeusi tiiii kama sabuni ya rungu.
 
Unaonaje ukitafuta mzungu, mwarabu, mhindi au mchina, maana hao ndio weupe wao hauna mashaka.

Haya magumegume ya nyumbani unaweza dhani mweupe kumbe jeusi tiiii kama sabuni ya rungu.
Dah, changamoto kweli
 
Kama huyu?
Screenshot_20180528-065701~2.jpeg
 
Unaonaje ukitafuta mzungu, mwarabu, mhindi au mchina, maana hao ndio weupe wao hauna mashaka.

Haya magumegume ya nyumbani unaweza dhani mweupe kumbe jeusi tiiii kama sabuni ya rungu.
 
Back
Top Bottom