Natafuta mwanamke mtu mzima

Ngoja nifoji birth certificate ili nikidhi matakwa ya mtoa uzi..! Lol
 
andrea ushapata? Au nikuforwadie binti mmoja wa ukweli mtu mzima yuko mitaa hiyo hiyo.
 
Wewe una watoto wangapi? Na je utakuwa tayari kuhamia kwa mwanamke ikibidi?
 
Wadau, mimi natafuta mwanamke kuanzia miaka 35 hata kama ana mtoto/watoto sawa tu tuanzishe mahusiano maana naona hawa wasichana wadogo wananisumbua tu bado hawajamaliza usichana. e-mail yangu andreakalima@gmail.com
Andrea I can feel you man! Any man, I repeat real man, ambaye ameshatulia na maisha, anataka mwanamke kwenye hiyo age range atulie nae.Kwa kuonyesha kuwa you are a real man, hujali ana watoto wangapi, nakupa tano mzee!! Wanawake wenye akili timamu mlio fiti vigezo mkichemsha hapo shauri yenu, mmeona matangazo mangapi kama hili for the past ten years!! I can't say more, wavulana pigeni kelele!!
 

1+1 = 2..................Au mhm naisi naye analo jibu ilo ndo maana amekuwa ivyo
 
Kumbuka kuna kunasa siku hizi! We taka taka tu wanawake!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…