Wadau, mimi natafuta mwanamke kuanzia miaka 35 hata kama ana mtoto/watoto sawa tu tuanzishe mahusiano maana naona hawa wasichana wadogo wananisumbua tu bado hawajamaliza usichana. e-mail yangu andreakalima@gmail.com
Distazo
Sitafuti mwanamke wa kunipa hela maana hata mimi ninazo za kunitosha na familia nitakayokuwa nayo. nina kazi nzuri & biashara ya kuniongezea kipato Natafuta mwanamke mwenye upendo wa kweli na aliyetulia. Kwangu mimi umri wa mwanamke ni kigezo kimojawapo (above 35 years) usinilazimishe nitafute kwa vigezo vyako
Wewe mwenyewe una umri gani? nyie ndio mnatumwa na waganga mkachungulie mlikotoka ili mfanikiwe maisha. Upuuzi mtupu fanya kazi ya halali kwa juhudi na maarifa.
Hii ndiyo maneno. Umri huo wanawake wengi wanakuwa wamepunguza usumbufu.Distazo
Sitafuti mwanamke wa kunipa hela maana hata mimi ninazo za kunitosha na familia nitakayokuwa nayo. nina kazi nzuri & biashara ya kuniongezea kipato Natafuta mwanamke mwenye upendo wa kweli na aliyetulia. Kwangu mimi umri wa mwanamke ni kigezo kimojawapo (above 35 years) usinilazimishe nitafute kwa vigezo vyako
ukiona mtu anaita mwanamke wa 35 mtu mzima, m-mama, jimama nk... huna haja ya kuuliza umri, lazma ni infant