Kinachooa ni account au ni huyo kijana? Ukihoji account, je ikisoma na kumbe ikawa ni ya Freemason na mlengwa wa kafara ukawa ndo wewe utafanyaje? Naomba tumuelewe kuwa yeye anataka kuoa na si account inayooa.

Nikijuacho mm ni kwamba, ugumu na urahisi wa maisha, huja kutokana na mtazamo wa mtu. Hivyo, basi, ninaamini pia kuwa, ni vigumu kumshauri mtu aliyekwishaamua; ingawa ni rahisi sana kumshauri mtu anayetaka kufanya maamuzi.