Natafuta mume

Unatumia kinywaji gani? Kwanza tuanzie hapo.
 
we sema unatafuta bwana.mume anatafutwa jf?
 
0653811003
Whatsapp me ASAP... kama kweli wewe ni mwanamke
Nimetoka abroad niko likizo hapa Dar.
Fluent english must be used..
Age restriction: 22 years and ahead
We can make a good bond if we exchange some ideas.

Duuuh.. Hadi ngeli jamany.
 
Mambo siku hizi yanabadilika sana!, watu wadharau jinsi mwanaJF alivyointroduce kiu yake! kwa kuwa hii JF pia ina connect watu, aweza kupata mchumba mzuri, kwani wangapi wanakutana bar, kwenye ndege, msituni, kjjni n.k na wakaoana! je ni wangapi wameletewa na baba zao au mama zao na ndoa ikadumu ama ikavunjika? let be serious! kama anatafuta mchumba usibeze!
 
Nitumie picha kwenye whatsapp yangu kama uko tayari nikupe au unaweza kunitumia pm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…