Natafuta Mume

asante mwaya. Mungu akubariki sn

Amen. It is well my dear . usijali negatives wengine wanazokupa just follow your spirit and your heart . Dont let any humans/ people trouble you, some of them are devil and need delivarance from God . So just forgive them. Thanks .
 
Mimi sina watoto nataka mke mwenye watoto......
 
Katika interview na mimi usinisahau.....mtoa mada..

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Natangaza uadui na wewe humu JF....upumbafu kama nyie sio wa kufumbua macho....tena we mbakaji wa watoto wa miez 18

Ila upumbavu wadada mnaowabaka huko majumbani na kuwadhirumu stahiki zao ndio wa kuufumbia macho....???
 
Kauze pale sinza kwa siku hela kibao
Dah! Umemkosea huyu dada,hajasema anataka hela kasema anataka Mume.hukua na sababu ya kumjibu hivyo.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
OMG.. 🎼🎶Nashindwa na mali sina weeeee, ningekuoa Destinylady,🎤🎸🎷. Ngoja wenye mgao wa noti za ESCROW waje.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…