Destinylady
Member
- Nov 21, 2014
- 52
- 15
Uwe makini na hawa waua wanawake kwa kuwalaghai.... Maaana mhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!Habarini wadau. Hii ni mara yangu ya kwanza kupost hapa kwenye jamvi nia na madhumuni natafuta mume, mimi ni mwanamke wa miaka 31 naishi arusha nina watoto 2. Natafuta mume kuanzia miaka miaka 35 - 45 itapendeza zaidi na yeye akiwa na watoto, awe serious na awe na uhitaji wa kutulia kwenye maisha ya ndoa, aliye serious aniandikie kwenye email yangu tinnercute@yahoo.com.ili kufahamiana zaidi, Asanteni
tinna cute huyu ni pacha wako??. All the best dada
labda ndo multiple id lol!!!
Hahaa sijasema mimi lol eti tina Junior. Cux anauliza hii nayo id yako??
Habarini wadau. Hii ni mara yangu ya kwanza kupost hapa kwenye jamvi nia na madhumuni natafuta mume, mimi ni mwanamke wa miaka 31 naishi arusha nina watoto 2. Natafuta mume kuanzia miaka miaka 35 - 45 itapendeza zaidi na yeye akiwa na watoto, awe serious na awe na uhitaji wa kutulia kwenye maisha ya ndoa, aliye serious aniandikie kwenye email yangu tinnercute@yahoo.com.ili kufahamiana zaidi, Asanteni