S soulmate410 Member Joined Nov 5, 2022 Posts 16 Reaction score 10 Nov 1, 2023 #1 Natafuta mume kuanzia miaka 40 43 muislamu amejiajiri au muajiriwa mwenye hofu ya mungu H.I.V anaejali afya yake na anamuonekano mzuri Ambae anahivyo vigezo aje pm
Natafuta mume kuanzia miaka 40 43 muislamu amejiajiri au muajiriwa mwenye hofu ya mungu H.I.V anaejali afya yake na anamuonekano mzuri Ambae anahivyo vigezo aje pm
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,265 Nov 1, 2023 #2 Yaani mwe HIV au?
Nubian Ancient JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 958 Reaction score 1,182 Nov 1, 2023 #3 Glenn said: Yaani mwe HIV au? Click to expand... Vigezo Tatanishi
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,265 Nov 1, 2023 #4 ANCIENT FROM EGYPT said: Vigezo Tatanishi Click to expand... Atawapata lakini
Nubian Ancient JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 958 Reaction score 1,182 Nov 1, 2023 #5 Glenn said: Atawapata lakini Click to expand... Ni kweli maana kuna kila aina ya watu unaowahitaji, yaani ukitaka mtu mwenye miguu mitatu yupo,
Glenn said: Atawapata lakini Click to expand... Ni kweli maana kuna kila aina ya watu unaowahitaji, yaani ukitaka mtu mwenye miguu mitatu yupo,
Abnormal JF-Expert Member Joined May 6, 2017 Posts 625 Reaction score 1,488 Nov 1, 2023 #7 soulmate410 said: Natafuta mume kuanzia miaka 40 43 muislamu amejiajiri au muajiriwa mwenye hofu ya mungu H.I.V anaejali afya yake na anamuonekano mzuri Ambae anahivyo vigezo aje pm Click to expand... soulmate410 andika kwa utulivu au ndio hii mvua imekuchanganya usiku huu mpaka umekuja kuandika haraka haraka humu? Wewe ni HIV+ na unahitaji mwenye hali hiyo? Hapo umeweka utata ndio maana wadau wanauliza wewe ulimaanisha nini hapo kwa HIV.
soulmate410 said: Natafuta mume kuanzia miaka 40 43 muislamu amejiajiri au muajiriwa mwenye hofu ya mungu H.I.V anaejali afya yake na anamuonekano mzuri Ambae anahivyo vigezo aje pm Click to expand... soulmate410 andika kwa utulivu au ndio hii mvua imekuchanganya usiku huu mpaka umekuja kuandika haraka haraka humu? Wewe ni HIV+ na unahitaji mwenye hali hiyo? Hapo umeweka utata ndio maana wadau wanauliza wewe ulimaanisha nini hapo kwa HIV.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Nov 1, 2023 #8 NIMESOMA HIZO SIFA NIKAGUNDUA HAO NI WANAUME 7
Missy Gf JF-Expert Member Joined Oct 30, 2022 Posts 5,590 Reaction score 15,743 Nov 2, 2023 #9 Mkuu hebu simama ndyo uandike maana inaonekana umejibanza mahali ukaandika chap
mahatmaxlla JF-Expert Member Joined Nov 26, 2017 Posts 955 Reaction score 1,551 Nov 2, 2023 #10 kweli dar mvua zimezidi..............................