Jamani naomba mnisamehe bure mi ni mgeni hapa Kwa hiyo niliweka thread nikafikiri nareply kwenye thread niliyopost kumbe nimeingia mwingine. Nimekosea wapendwa nisamehewe bure Tu. Busy B nisamehe sister a
Yes Mods ndo waliunganisha threads nadhani sbb majina yanafanana.Sio kosa lake nadhani mods wameunganisha uzi wake na wako. Kosa ni lao na sijui wametumia kigezo gani kufanya hivyo.
Huenda majina yenu kufanana yamewachanganya
Copy hiyo comment yako then paste kwenye uzi wako, na uandike mods wasiuunganishe na huu coz nyie si mtu mmoja.
Wala sio kosa lako mdogo wangu.Jamani naomba mnisamehe bure mi ni mgeni hapa Kwa hiyo niliweka thread nikafikiri nareply kwenye thread niliyopost kumbe nimeingia mwingine. Nimekosea wapendwa nisamehewe bure Tu. Busy B nisamehe sister angu
Ahaaa kumbe tena kuna Mambo ya kuunganishwa tenaWala sio kosa lako mdogo wangu.
Mods walituunganisha ila sasa hv wamezitenganisha.
Mungu akutangulie upate mume boraMimi ni mdada WA miaka 37 sina mtoto, natafuta mume wa ukweli. Mimi ni mkristo, elimu yangu form six, mjasiriamali mdogo.
Mwanaume awe na miaka 35 na kuendelea. Njoo PM tuongee kisha tukikubaliana ndipo tuanze safari.
Kwani kujiita mdada ni dhambi? Naona tujikite kwenye maudhuiMiaka 37 bado anajiita Dada.
MUNGU amekupatia maarifa uyatumie.Zidi kumuomba na Mungu akupatie alie Bora na wakufanana nae ..Amini utapata
Uzazi huanza kupungua kuanzia miaka 35 .Kuna uzazi hapa kweli au ndo mdogo wake jide & wema
Hapana hajitambui huyu,ilipaswa ajiite mmama ,wewe kama unamuwowa wowa tu!!Kwani kujiita mdada ni dhambi? Naona tujikite kwenye maudhui
Labda.haandikagiUna post moja tu!
Hizi mambo ya PM umeyajuaje?
Dada njoo na ID yako ya zamani tukufahamu vizuri kwanza[emoji41]
Njoo pm kwangu upate hitaji la moyo wakoMimi ni mdada WA miaka 37 sina mtoto, natafuta mume wa ukweli. Mimi ni mkristo, elimu yangu form six, mjasiriamali mdogo.
Mwanaume awe na miaka 35 na kuendelea. Njoo PM tuongee kisha tukikubaliana ndipo tuanze safari.
Asante nipo Kilimanjaro 0755144754Mimi ni mdada WA miaka 37 sina mtoto, natafuta mume wa ukweli. Mimi ni mkristo, elimu yangu form six, mjasiriamali mdogo.
Mwanaume awe na miaka 35 na kuendelea. Njoo PM tuongee kisha tukikubaliana ndipo tuanze safari.