Hapo shida ni mama wa watoto hajitambuiDada yangu ni singo maza ana watoto watatu, watoto wote kawazalia home, Bas watoto wanakaa kwa Bibi yao Mwanza jiji Halafu Mimi nakaa kijijini ndo kituo changu Cha kazi kilipo,
Mama umri umeenda namtunza shida nikimtumia hela ya kujikimu na maisha ya mjini yalivyo magumu vyakula Bei juu hela inakuwa haitoshi maana anatumia hizo hela kufanya mahitaji ya wajukuu wake, Mara nguo, viatu wakati mama yao yupo tu Bado mdogo miaka 35 anazurula hajulikani yuko wapi anafanya kazi gani?
Ukiona mtu anapopoa masingo maza humu ujue Kuna kitu,
Pia wanaume waliozaaa na masingo maza halafu hawatunzi watoto wao wanaume hao inatakiwa wafungwe kifungo Cha maisha.
Lkn msiwahukumu watu bila kujua yaliyowakuta wapo wengi wanafurahia ndoazao na single mama haohao mnawananga,
Kama hauna uhitaji kaa kimya wenye uhitaji watawapenda
Kilamtu kaumbiwa wake kma sio type zenu msiwachafue kwa Mambo ya kusadikika et kurudiana na mwanaume wake vipi na wanawake wanaolea watoto zenu mliozaa nje???
Lkn sidhani km wote na inawezekana wengi wanajuta Sana kuzaa bila ndoa lkn duh maisha hayako fair nimewaza tu anavojisikia huyu dadaMe siwezi kumchafua mtu dada angu
Even my sister ni single mother...
Ila hi hainipi ugumu kusema UKWELI!
Sio wote sawa ila wengi wao hua inakua hivyo
Hawaachani na wazazi wenzao!
Mim ninae ongea hapa nmekua nao wawili kwa nyakati tofauti
Wakwanza tulikua na mahusiano normally tu....siku akaniambia tu baba ....anakuja kumuona mwanae nkasa sawa...jamaa alikaa nae siku7 [emoji16][emoji16]
Yule dada alikua anamtoroka jamaa yake night anakuj kugonga geto sifungui
Jamaa aliposepa akawa full kushinda mazingira ya room akijua ntataka kufanya kama yeye nkatulia tulii
Huyu mwingine naomba nisiseme kitu...
Me nlishafikia had uamuzi wa kutaka anibebee mimba ili iwe gia ya kwenda nae home sababu hiv hiv ingekua ngumu
Ila matokeo yake!!!!!
Naomba nisamehe bule
Huwez kujua utamu wa hi ngoma kama huchezi na bila ya kupepesa macho naomba nikil wazi tu kwangu itakua NGUMU!
Pole sanaNi kweli kila mtu ana machaguo yake, ila wanawake mmezidi (hasa wenye vijielimu mbuzi) expectation kibao, vigezo kibao afu unakuta mwanamke mwenyewe shapeless sura kama mjomba wake ila mashauzi utadhani mnakunyaga bagia.
Mnafuatwa na wanaume wenye nia ya kuwaoa mkiwa 21 - 26 ooh "usinipotezee muda nina malengo yangu" haya sasa mnakuja kutujazia severs za jf na manyuzi ya kutafuta mume, nyie mna akili kweli ?! nendeni mkaolewe na malengo yenu.
Weweeee..atuambie baba mtoto yuko wapi...unataka akizoea ndoa aanze "baba mtoto anataka kumuona mwanae".....Ni kizazi cha Facebook na insta kilichohamia huku. Wapuuzi kwelikweli. Zamani hii page ilikuwa serious kwelikweli na wengi walipata wenza hapa siyo siku hizi full kukatishana tamaa
Unaonekana kuna jambo ulitendwa sio bure... pooleee😂😂😂Unipe pole mimi ?! Kichekesho cha Joti kwa TV. You are shooting in a wrong direction my dear. Uache kumpa pole single mother mwenzenu, unipe mimi ?! Oooh inashangaza kiasi gani.
Kumbe shida ni viporo[emoji23]Huu umri wa mtoa mada ni sahihi sana kuja kutulia kwenye Ndoa. Maana umri huu anakuwa kashatosheka na kurukaruka sasa akili inaanza kutulia.
Kwa wale wenye nia ya kupata mke nawajuza kuwa huyu ndio mke. Tatizo ni moja tu, Mzazi mwenzake akianza kuja kumuona mwanae hapo ndio mazoea ya kupasha viporo yatapoanza.
Ana hasira Sana[emoji23]Unaonekana kuna jambo ulitendwa sio bure... pooleee[emoji23][emoji23][emoji23]
Aise waliosema "wanawake wanaongea kwa hisia na sio akili" walikua sahihi sana. Mimi naonekana nimetendwa ?!, tehe he heeUnaonekana kuna jambo ulitendwa sio bure... pooleee😂😂😂
Unateseka mno [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi sibishanii matusi alafu sikufunzwa kutukana watuWiselly said, sawa kabisa kapanue bwawa kwa masela. Bakuli la shaha.wa za mtaa achana na seller.
Umesahau kigezo awe anapumua tu [emoji1787][emoji1787][emoji23]Ukute mtoa mada enzi za ujana wake
"Siolewi na mwalimu"
"Nataka mrefu aliyejazia kama juma mpemba"
"Nataka mwenye pesa na gari"
Haaaahaa and nooooooow. "nataka yeyote aliye serious" WTF
shida inaanzia hapa.Nina mtoto mmoja
Sawa tu Kwan ni tatizoSawa hukufunzwa kutukana ila ulifuzwa kuuza ku.ma mitandaoni ?!
Inatosha mpwa....iginoa listi![emoji1545]Unateseka mno [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi sibishanii matusi alafu sikufunzwa kutukana watu
Kufukuzana na chizi nawew utaonekana mwendawazimu sio vitu vyangu relax