Angekua ana watoto wawili ningechukua chombo....
Njoo nikuoe tulizo mrembo...hiyo ndio prime age ya kuolewaNaishi dar
Mkatoriki
28 age
Nina mtoto 1
Nimwajiriwa
niko serous nahitaji baba wa familia hata kama sipo najua wanangu wako mahala salama
Kwaresma njema.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Wewe unajua aliko?nimekuelezea matatizo yangu? MwanakulipataKwanini usirudiane tu na baba mtoto wako? We nae kwa kuhangaika? We endelea kuzurura tu, mwanakulitafuta
Hivi mwanamke akiwa na mtoto huwa mnamchukuliaje?labdaAngekua ana watoto wawili ningechukua chombo....
Nawapenda wanawake wenye watoto tayari...Hivi mwanamke akiwa na mtoto huwa mnamchukuliaje?labda
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nenda makaburi ukishamfufua mpe na pumzi kabisa uniletee (nawangoja)
Nani anataka singo mama! Katafte mzazi mwenzako!