Why usiweke no apa Irene!! Ikawa rahisi!!Habari za muda huu wapendwa! Niende moja kwa moja kwenye dhumuni langu, nipo hapa kutafuta mume yaani mwanaume ambaye tutaanza nae urafiki kisha mahusiano Mungu akijalia tuwe mume na mke
SIFA ZANGU
maji ya kunde
Sio mnene yani mwembamba kiasi
Miaka 25
Nina mtoto mmoja
Mjasiriamali
Mcha Mungu
Mkristo
SIFA ZA NINAE MTAKA
Awe mkristo
Muajiriwa ama kajiajiri
Mcha Mungu
Miaka 28 mpka 40
Asiwe mnene sanaaa
Mengine zaidi tutajulishana PM
Karibuni
ASAP
Kama uko na shida nenda on iko wazi.Why usiweke no apa Irene!! Ikawa rahisi!!
Habari za muda huu wapendwa! Niende moja kwa moja kwenye dhumuni langu, nipo hapa kutafuta mume yaani mwanaume ambaye tutaanza nae urafiki kisha mahusiano Mungu akijalia tuwe mume na mke
SIFA ZANGU
maji ya kunde
Sio mnene yani mwembamba kiasi
Miaka 25
Nina mtoto mmoja
Mjasiriamali
Mcha Mungu
Mkristo
SIFA ZA NINAE MTAKA
Awe mkristo
Muajiriwa ama kajiajiri
Mcha Mungu
Miaka 28 mpka 40
Asiwe mnene sanaaa
Mengine zaidi tutajulishana PM
Karibuni
ASAP
Swali zuri sana. Pia amesema yeye ni mcha Mungu sasa kama yeye ni mcha Mungu ilikuwaje akakubali kuzalishwa katika umri mdogo kama huo? MchaMungu hataki mnene anataka muajiriwa....ha ha haHiki kigezo cha kuajiriwa huwa kinakukosesheni sana watu sahihi...kwani mzazi mwezio hakuwa mwajiriwa na ndiyo sababyu ya mahusiano yenu kutofika mbali?
sikatai huenda mtukubadilika kumcha Mungu wakati jua lishazama...huku kumcha Mungu ni kichaka tu cha kujificha na ama kuficha madhambi watu waliyofanya kabala ya huko kumcha Mungu!Swali zuri sana. Pia amesema yeye ni mcha Mungu sasa kama yeye ni mcha Mungu ilikuwaje akakubali kuzalishwa katika umri mdogo kama huo? MchaMungu hataki mnene anataka muajiriwa....ha ha ha
Hapa hakuna Mung u" pepo
Miaka 25 ....... Mcha Mungu..........Mtoto mmoja..........
...................????????????