Natafuta mume

Mimi elimu yangu postgraduate diploma, ila Nina kitambi
Vipi utanikubali?
 
Maelezo bado hayajakamilika:
Suala la Kipato kipindi hiki ni la msingi Sana ata kwetu sisi wanaume. Fafanua unafanya kazi gani? Tuone Kama kunamtelemko ( Kitonga ), uenda Kuna fursa hapa tuichangamkie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati nzuri mimi sio suger mamy.... Mwanaume asiyetambua majukumu yake simtaki.... Unaweza kwenda sababu hili tangazo hawajawekewa marioo ( Wapenda vitonga).... Happy new year

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…