Natafuta mume

Okay!! Good night to you ms. Rebecca
 
Nadhani hujamuelewa.
Alichomaanisha yeye Sio asitafute mchumba..Bali awe makini na asiharakie Sana maana ndoa Ni taasisi kubwa na Jambo kubwa hasa kuchagua mtu wa kuishi Naye maisha yake yote.
Nyie mna mawazo sawa,,sema tu hamuelewani
Basi ngoja nilale labda kesho nikisoma ntamuelewa vizuri
 
Ila we najua sio mwembamba,,

Una neema za Allah
 
Kwa kweli dada kalale.,usipoteze muda wako kubishana na huyu kijana.
Huyu atakuchosha bure..maana haelewagi yaani
 
Me nshakusihi, hutaki subiri na wewe ufike 30s ndio utajua.

Mambo mengine sio lazima uelewe ukiwa 20s, unaweza ukaelewa vizuri ukifika 30s pia
 
Usimchanganye zeshchriss katika hili. Mitazamo yetu haikinzani na amejiona muda umefika ndio maana anatafuta mume.

Issue hii imekuja baada ya Rebeca 83 kusema 26 ni mdogo.

Acha upotoshaji kiddo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…