Nipo hapa nimetimia mtoto wa kinyatu.....ruSalaam kwenu.,,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm
Ahsanteni sana
Ila wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi sijasoma chochote mkuu nipo tu na ka elimu kangu ka hapa na paleHuyu sio la Saba amesoma sana so wanaume wanamuogopa au anataka wa kumuendesha yeye aina za wanawake wasomi wajanja wajanja sana... Atakayempata kama amepigika kimaisha ataenjoy na kunung'unika kwa Pamoja...
Nina Girlfriend wangu kila nikifanya kitu anakipinga pinga au kukikosoa as if yeye mjuaji zaidi, na anataka yeye ndio asikilizwe na aelekeze so ukimkubalia anakuwa happy na ukikaza ni ananuna tu namvutia pumzi tu kuna rafiki yake akiingia king nitampiga down
Ikishindikana kabisa mkuu...inabidi utafute tu mtoto[emoji29] Ndio basi tena
Mkata umeme usha wasili [emoji1] [emoji1] [emoji1]hutaki mwanaume mrefu?
Hui mwandiko wa kiume huuKwani mie ndiye niliyeiteka boss??? Hebu fanyeni mlipe deni mpate kindege chenu
Huyu leo nimestahi, namfahamu vizuri tuMkata umeme usha wasili [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Haya mtani kila la heri!!!Oooh mtani hili bandiko ni la kweli nashangaa watu hamuamini
Na wewe ukipasiwa wawili watatu, unikumbuke na mie...unipasie mmoja[emoji6]Kila rakheri dear, ukipata wengi nipasie wawili watatu
Na wewe ukipasiwa wawili watatu, unikumbuke na mie...unipasie mmoja[emoji6]
Hahaaa, haya mwaya sitokusahau,ingawa mpaka sasa hivi sijapasiwa yeyote ,nadhani bado hawajaanza kumiminika Kwa mleta Uzi zesh, wakaka mnakwama wapiii?Na wewe ukipasiwa wawili watatu, unikumbuke na mie...unipasie mmoja[emoji6]
Kila rakheri dear, ukipata wengi nipasie wawili watatu