Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
 
Specification zako vp.....Tujue kabisa:
Gb ngapi
Front camera
B camera Mpixel ngapi
Screen resolution
Ram
colour
Battery MAh ngapi
Capacity
Bei...au utaolewa bure!
 
Nina miaka 29.. natafuta mume aliye serious na mwenye hofu na mungu ..awe mkristo umri kuanzia miaka 30-35....sipo kwaajili yakujaribiwa...kazi yoyote ili mradi iwe halali ..
aliye tayar ani pm...
Ntarudi kwakwel ngoja nishushie ka Azam malt coffee kangu ka bariiid
 
.....nimesema nilichosema!...ni kweli 'wenzie' wanatafutwa;ni kweli 29 ni mzee!
..na kama umekubali hata wewe utafia mbele kwanini yeye 'asifie mbele'!
..wewe na mwenzio(japo nishahisi ndie wewe huyo huyo),kafieni mbele!

Huu sasa ni ukorofi. Mtu kaweka bandiko lake wewe unasema afie mbele, kwani tatizo ni nini? Hizo sifa alizoweka tupo wenye nazo na huyo dada tunamuona anafaa. Wewe kama siyo size yako si unatulia tu?? Au unatufahamu watu wote humu?
 
Kila la kheri mpendwa wangu mungu akupe itaji la roho yako.
 
JF imeingilia na vitoto. Mtu analeta suala lake yupo serious then wengine mnachafua. Kuweni serious na mambo ya watu.
watu wana stress mkuu
wanajifanya wameoa kumbe wameoa vituko hawana lolote
 
Mimi nina wasiwasi na hawa watu wanaotafuta wapenzi mitandaoni pengine ni changudoa aliyetukuta huko mtaani kwao halafu anakuja kujipooza huku eti natafuta mume aliye serious. Kama uko serious kweli kutafuta mchumba huku utakuwa umepotea njia maana kumpata mtu aliye serious hata mtaani tu ni shughuli. Cha msingi omba mungu atakusaidia kumpata mwenza anayekufaa
 
Huyu ni yuleyule ila id tofauti,ovyo kweli,umeona hamna mwenye ishu na wewe umekuja na id nyininge,peleka ukimwi kwa wazee wenzako.
 
Acha mtazamo wa kizamani. Wangapi wameolewa JF na wengine kwenye mitandao mingine? Hivi unawezaje kutumia neno changundoa kwenye post ya mtu hata kwa kuhisia?
 
Huu sasa ni ukorofi. Mtu kaweka bandiko lake wewe unasema afie mbele, kwani tatizo ni nini? Hizo sifa alizoweka tupo wenye nazo na huyo dada tunamuona anafaa. Wewe kama siyo size yako si unatulia tu?? Au unatufahamu watu wote humu?
.....teh hee hee...wewe unaposema "tupo" unamfahamu na kumjumuisha nani mwingine zaidi yako?
....by the way,mada ishajifia..mwenye nayo kanyoosha mikono juu!
..pole sana 'mzee wa mizoga!'..teh hee hee
 
.....teh hee hee...wewe unaposema "tupo" unamfahamu na kumjumuisha nani mwingine zaidi yako?
....by the way,mada ishajifia..mwenye nayo kanyoosha mikono juu!
..pole sana 'mzee wa mizoga!'..teh hee hee

Wewe unaoneka bado mtoto sana kwa utoto ulioonyesha humu
 
Kabisa chifu unaeza kuta unafubaza nyota yako bule
 
JF imeingilia na vitoto. Mtu analeta suala lake yupo serious then wengine mnachafua. Kuweni serious na mambo ya watu.
umeingizwa mkenge kaka,huyo mtoa mada pia ni walewale tu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…