Natafuta mume wa kunioa

Kwanini upate tabu, njoo huku
 
Kwa kwel Mungu akujaze haja ya moyo wako , umejitoa kimaso maso
 
Post yako ingependeza kama ungeambatanisha na picha, pili kama upata mtoto utuambie hapa kuwa mimba uliwahi kutupa ngapi,
 
Duu nimependa hiyo nitafute kwa 0787245116

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujafikia umri wa kuolewa. Ukifikia hautatafuta mume. Utajikuta tuu umeolewa. Na usichague Sana maana Mungu ndiyo anakuletea mtu sahihi kwako kwa maisha yenu alowapangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…