Natafuta mume wa kunioa tafadhali

uko wapi? Na kwann hujaweka cm no nitafte kwa mawasiliano zaid ila mm sio mwanjiliwa ila naweza kuanjiliwa mda wowote
 
Wrong chanell dada kama unahofu ya Mungu ya kweli..!
 
nakupenda sana na wala sihitaji picha kwa sasa. HUU HAPA WASIFU WANGU: mdomo mpana. mweusi sana. jogoo kama mdomo. utakuwa mke si wa kwanza hivyo uzoefu A, mpole, mtanashati, msikivu, asiyevumilia makwazo, akienda joshi harudi asilani, na sifa lukuki. NATUMAI UMENIPENDA. nipigie namba yangu ni hii hii kama ya mpenzi wa zamani.
 

Mimi sipendi dini bali ninampenda sana Yesu Kristo...sijui ninaqualify?
 
kama ni mgeni, basi bila shaka hata tabia za baadhi ya wanaJf pia hazifahamu. mi namshauri walau awe na subira kidogo aweze kuzisoma tabia za watu mbalimbali wa jf kabla hajaanza hayo mawindo yake!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…