Hellow friend,mimi ni msichana mwenye miaka 25,natafuta m2 aliyetayari kunioa.
sifa
awe na miaka kuanzia 27-33
awe na elimu kuanzia degree1 au mjasiliamali
mwenye mapenzi ya kweli
awe mrefu,sichagui rangi,lakini pia awe mkiristo
wenye vigezo wanipm,au 2mia email smasige@rocketmail.com,ila wajita na wasukuma watapewa kipaumbele.
kwa nini wajita na wasukuma wanapewa kipaumbele?
nina miaka 28...ninasoma MSc..UDSM....ninategemea kumaliza December mwaka huu....I wish to say that natafuta binti pia so if you want to know more from me please reply @city88greendar@yahoo.co.uk