positive woman
Member
- May 12, 2015
- 15
- 11
Habari za humu wapendwa.
Ni mwanamke mwenye 30yrs, nimeajiriwa naishi dsm, mwili size ya kati. Natafuta mwanaume ambaye M'Mungu akijaalia awe mume wangu.
Sifa za mwanaume:-
1. Awe Muislam, mwenye hofu ya Mungu
2. Kabila lolote
3. Mwenye kujitambua na aliye tayari kusettle na kujenga maisha pamoja
4. Mwenye kujua thamani ya mwanamke, na mwenye heshima kwa wanawake
5. Awe anajishughulisha kujiingizia kipato
NB: nipo serious kwa aliye tayari pls pm me for other details including my history, naomba jokes pembeni guys maana mnaweza kunikatisha tamaa pls.
Asanteni.
Matusi gani ?? Kwani hii ID yangu una uhakika gani kama sio mzimu ,au ndio unataka uchukue point 3 kijanja
Mtaani kwenu kote hujaona wakukufaa mpaka uje uhangaike na mizimu ya Jf
pm our number
Alafu futa hii thread
30yrs!;Wewe ushazeeka tayari.Uliibania mno;Halafu hiyo ya kubagua dini ndio kabisaaa ishakukosesha Mme coz mwanamke hana dini ni wa wote.
Hapo kwenye upositive ulionao ndio panatukatisha Tamaa, hebu fafanua positive kiaje maana akili zetu zinaenda mbali sana, halafu dini Sio issue sana coz nowdays ni unafiki tu umejaa kwa viongozi wa dini, kikubwa ni kupata tu mtu ambaye chemistry zenu zitaiva.
Sihitaji na sina haja ya kuzitafuta hizo unazoziita point aiseeee....
Pili, usinifananishe na wewe sababu ujana bado unakupeleka mbio.
Then, unakosea sana kumuita mwanadam ati Mzimu, kwana kwamba wewe ndie uliefanya uumbaji. Pia usije jindangaya kwamba kuna sehem maalum ya kupata mke/mume wa maisha yako.
Na mleta bandiko ameweka wazi kabisa kwamba hataki maneno ya kashfa wala kukatishwa tamaa, kwani pengine yawezekana yeye ameona na kuamini kwamba huyo wa maisha yake atampata humu jf.
Thanks
Habari za humu wapendwa.
Ni mwanamke mwenye 30yrs, nimeajiriwa naishi dsm, mwili size ya kati. Natafuta mwanaume ambaye M'Mungu akijaalia awe mume wangu.
Sifa za mwanaume:-
1. Awe Muislam, mwenye hofu ya Mungu
2. Kabila lolote
3. Mwenye kujitambua na aliye tayari kusettle na kujenga maisha pamoja
4. Mwenye kujua thamani ya mwanamke, na mwenye heshima kwa wanawake
5. Awe anajishughulisha kujiingizia kipato
NB: nipo serious kwa aliye tayari pls pm me for other details including my history, naomba jokes pembeni guys maana mnaweza kunikatisha tamaa pls.
Alive tayari tuwasiliane kwa mndele85@gmail.com
every conversation will b strictly confidential.
Asanteni.