Kila la kheri😊Habarii Wana JF
Natafuta mume
Nina umri miaka 26
Mkristo
Mjasiriamali
Natafuta mwanaume aliye serious tuanzishe mahusiano endelevu kisha ndoa
Awe mkristo
Asiwe ameoa
Umri anizidi kuanzia 28,29,30...
Sababu ya kuja JF nipo mazingira ambayo dini tofauti na yangu imeshika hatamu na wazazi wangu wamekwisha kataa wanaume wawili waliokuja wa dini tofauti Kiukweli napata walio serious ila dini tofauti na wazazi wangu ni viongozi wakubwa kanisani
PLS:KAMA UPO SERIOUS TUKUTANE PM
Naombeni jamani msi attack post yangu sitaweza kuwajibu na nitajisikia vibaya
MUNGU AWABARIKI
Picha plsHabarii Wana JF

Sasa miaka 27 ni mzee kumbe tuna vitoto humu JfAnizidi 26 plus na wako maana yake unataka lizee
Si unijalie kapicha pm MpendwaHabarii Wana JF
Natafuta mume
Nina umri miaka 26
Mkristo
Mjasiriamali
Natafuta mwanaume aliye serious tuanzishe mahusiano endelevu kisha ndoa
Awe mkristo
Asiwe ameoa
Umri anizidi kuanzia 28,29,30...
Sababu ya kuja JF nipo mazingira ambayo dini tofauti na yangu imeshika hatamu na wazazi wangu wamekwisha kataa wanaume wawili waliokuja wa dini tofauti Kiukweli napata walio serious ila dini tofauti na wazazi wangu ni viongozi wakubwa kanisani
PLS:KAMA UPO SERIOUS TUKUTANE PM
Naombeni jamani msi attack post yangu sitaweza kuwajibu na nitajisikia vibaya
MUNGU AWABARIK
Na mimi sio mwepesi hivo mpendwa wangu,mimi siharakishi Wala si kuwa sipati watu serious ila dini tofauti,kingine unachotakiwa kuelewa uzazi na udogo,sisi wanawake tuna limit ya umri wa kuzaa tunatofautiana kwenye mitazamo siwezi kataa mtazamo wako,ubarikiweDuuuuh. Kama hiyo paragraph ya mwisho ni kweli basi pole sana.
Ila mbona umri wako bado mdogo sana kutafuta mume humu.
Mbona unataka kujilimit.
Kama unataka kuolewa kweli na mwanaume atakaekupenda kwa dhati punguza haraka.
Humu wengi watakukula watakuacha.
Kila la Kheri.
Yupo wapi dearHuku hakuna mume rafiki.
Kaa utulie. Uwe mzuri na tabia nzuri utapata mume. Atakutafuta weweHabarii Wana JF
Natafuta mume
Nina umri miaka 26
Mkristo
Mjasiriamali
Natafuta mwanaume aliye serious tuanzishe mahusiano endelevu kisha ndoa
Awe mkristo
Asiwe ameoa
Umri anizidi kuanzia 28,29,30...
Sababu ya kuja JF nipo mazingira ambayo dini tofauti na yangu imeshika hatamu na wazazi wangu wamekwisha kataa wanaume wawili waliokuja wa dini tofauti Kiukweli napata walio serious ila dini tofauti na wazazi wangu ni viongozi wakubwa kanisani
PLS:KAMA UPO SERIOUS TUKUTANE PM
Naombeni jamani msi attack post yangu sitaweza kuwajibu na nitajisikia vibaya
MUNGU AWABARIKI
Tulia, Nenda kwa waislamu wenzio huko, mbona ndio wengi humuHii nchi ina udini mpaka leo
Anyway njoo pm tuyajenge ila tu cna ela nipo dar