kinyanshanani
Member
- Jul 7, 2015
- 7
- 1
32yrs n mtoto juu. Yan bora uendelee kumpenda yesu tu.
Mwaya Mungu akutane na haja ya moyo wako. Mume utampata tu hapa jf au nje
Bedbug dreams!
Mimi ni binti wa miaka32 Nina mtoto1 wa miaka5 nimeokoka nampenda yesu umefika wakati nahitaji mwenzi wangu wa maisha awe na umri34-42 awe mwenye mapenz ya kweli atakaenipenda km nilivyo mtafutaji wa maisha km Mimi tuwasiliane kwa email karungimiteni@yahoo.com plz naomba uwe serous na ni muhitaji kweli
Hukupaswa kumwambia hiviWe dada nenda kwa yesu mana ndiye mwanaume wawa jane.
Ila wanaume wanaooa single moms mnakua na moyo dah!
Kuna tatizo kwani mkuu? Unajua ni mazingira gani aliyopitia hadi akawa single mom at that age?
We Huoni tatizo hapo bibie. Mi siwezi kufahamu mazingira ila nnachojua kuna jamaa kala mzigo afu kasepa.
Jamani kwani wote si tunaachikaga? So ukishaachwa huruhusiwi kupenda/kupendwa tena?