KaribuMie nataka uwe rafiki yangu, tusaidiane kwenye shida, vipi uko tayari?
Asante mwayaKila la kheri mwaya japo kwa ushauri tu ukiona mitandaoni hakuna mafanikio geukia na upande mungine.
Thanks for remainderMie nataka uwe rafiki yangu, tusaidiane kwenye shida, vipi uko tayari?
Mambo bebiKila la kheri mwaya japo kwa ushauri tu ukiona mitandaoni hakuna mafanikio geukia na upande mungine.
Hahah
Mdogo wangu hebu muache mwenzio ajaribu bahati yake😄😄😄Kila la kheri mwaya japo kwa ushauri tu ukiona mitandaoni hakuna mafanikio geukia na upande mungine.
Leo nimekesha nakutafuta kumbe uko huku??
Nasubiri uweke tangazo njitose kinyang'anyironiMoroGent njoo umchukue mke wako huku
Hao wa kuwatengeneza si ndio wa 25-30? [emoji3][emoji3] No