adam genduse
New Member
- Oct 1, 2022
- 1
- 0
DuuuhKama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu, awe na sifa zifwatazo:
Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote.
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe msomi angalau kuanzia Diploma
Awe maji ya kunde au mweusi
Awe na chanzo halali cha kujipatia fedha
Awe na umri kwanzia 27 mpaka 34
Asiwe na mtoto
Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Awe mwadventista msabato.
Kabila lolote lile sawa, kikubwa pia awe mwenye upendo wa dhati na awe mpole.
Sifa zangu:
Nina miaka 24, nipo Dar, elimu yangu ni Bachelor Degree, nimeajiriwa Serikalini kwa sasa, mwonekano wangu nina urefu wa 5.5ft mwili wa kawaida, mweupe kwa rangi.
Note
Kama hukidhi vigezo please usije DM
Wako wengi sanaJf wasabato ni adimu sana...wahi kanisani mwaya
Ni jambo la kawaida kabisa kama alianza kuwa na mchumba form 2 mpaka sasa hiyo ni shangazi tuMiaka24 unakuta ni shangazi kuliko Hata sie mashangazi,😅😅😅 nimekuelewa mkuu.
Kwa nini unatufanyia hivyo lakini To yeye ............?Mume mcha Mungu atoke wapi? Labda wanaoigiza wamcha Mungu hao ndo wengi mno
Uzi wa tangia tarehe 12 we umeenda pm juzi mzee....Msiende pm,
We manzi full maringo
Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu, awe na sifa zifwatazo:
Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote.
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe msomi angalau kuanzia Diploma
Awe maji ya kunde au mweusi
Awe na chanzo halali cha kujipatia fedha
Awe na umri kwanzia 27 mpaka 34
Asiwe na mtoto
Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Awe mwadventista msabato.
Kabila lolote lile sawa, kikubwa pia awe mwenye upendo wa dhati na awe mpole.
Sifa zangu:
Nina miaka 24, nipo Dar, elimu yangu ni Bachelor Degree, nimeajiriwa Serikalini kwa sasa, mwonekano wangu nina urefu wa 5.5ft mwili wa kawaida, mweupe kwa rangi.
Note
Kama hukidhi vigezo please usije DM
🤣🤣🤣🤣
Jama jama jama, vibaya hivyo, sie tupoMume mcha Mungu atoke wapi? Labda wanaoigiza wamcha Mungu hao ndo wengi mno
🙄Jama jama jama, vibaya hivyo, sie tupo
😂
0659 unatoa?Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu, awe na sifa zifwatazo:
Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote.
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe msomi angalau kuanzia Diploma
Awe maji ya kunde au mweusi
Awe na chanzo halali cha kujipatia fedha
Awe na umri kwanzia 27 mpaka 34
Asiwe na mtoto
Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Awe mwadventista msabato.
Kabila lolote lile sawa, kikubwa pia awe mwenye upendo wa dhati na awe mpole.
Sifa zangu:
Nina miaka 24, nipo Dar, elimu yangu ni Bachelor Degree, nimeajiriwa Serikalini kwa sasa, mwonekano wangu nina urefu wa 5.5ft mwili wa kawaida, mweupe kwa rangi.
Note
Kama hukidhi vigezo please usije DM
🙈Nini tena we binti mrembo?
Hongera lakini🙈Nini tena we binti mrembo?
Ya nini to yeye?Hongera lakini
Kuwa mume mwema Kwa mkeoYa nini to yeye?