Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,797
- 22,337
Hatimaye umefanikiwa au huyo mtanzania mzushi tu?sa tutakula nini Java?
Anataka kujiongezea kipato kiaina....Huyo mtanzania anauliza aje tu hat Kama Hana job?
Vijana wa kula kimasihara hawakosagi condom kwenye walletNi wapi hao? Kataa ndoa au wa kula kimasihara?
Wasamee tu bibie ni vijana wa ovyo wakiona tu paja Abdalah kichwa wazi anapanda mnara.Ntawachapa ntawatandika Kisha ntawadunda
Unaonekana mstaarabu sana la mama ishi sana.