Dear Aspirin,God bless you.am a woman,nina maeneo mengi ambayo yatanifunga nipime , especially nikiwa mjamzito🥰Kila la kheri na Mungu akutangulie katika haja ya moyo wako.
Siku nitakayopata ujasiri wa kupima labda ndio siku nitakapokuwa nimeshakupoteza....
Mimi kupima labda nishikiwe mtutu wa bunduki huku nikibebwa na greda la Manispaa ya Kinondoni.....
Nikupende mara ngapi? 🥰hapa kwenyewe nishakuzimia mbona.🥰Makaveli, njoo tupendane Basi?😄 Shukran.
Oooh poleAsante,Nina historia ndefu, kote huko nilifika
DuuuNje ya Mada ilikuaje ukapata HIV +
🚮Mmmhhh....!! Kitumbua kimeingia mchanga, hakiliki
I know my dear.... Ila hongera kwa kujitambua.... Sisi wengine tumejipanga kujitambulia kaburini...Dear Aspirin,God bless you.am a woman,nina maeneo mengi ambayo yatanifunga nipime , especially nikiwa mjamzito🥰