Natafuta mume aliye serious


Mume miaka hii anatafutwa kama unga wa sembe dukani, ahsante lakini kwa kutangaza tender, eligible bidder will win her over,tunashukuru kufuata utaratibu wa PPA-2011
 
Nimevutiwa na wewe ila tatizo limekuja umepungukiwa vigezo ww ni mbilikimo
 
Kumbe walimu primary kazi haramu? Wew msaka maslahi tuu, umeshindikana ukaanza kujitangaza
 
sisi wa primary tuna soko kwa wadada wengine hiv. Nyie mnaojiita mtabaki single mother mileleee.Sie twaendelea kulea familia zetu tena tukirudi tunapokelewa vitabu vya ben and co. Nyie mwahangaika na matangazo huku. hata sisi hatutaki wanawake wasomi ni wasumbufu sana.Tunataka wasiosoma tunanawishwa hadi miguu.teh teh teh!
 
weka picha inaweza bagua elimu za watu kumbe ni kibogoyo.idiot idiot idiot!!
 
Bado hajapatikana, ukija kwenye pm jielezee wasifu wako wote, usiache namba tu, usipo jielezea kwa kirefu ukaacha namba tu ctakujibu, consider your self your disqualified.Karibuni
Lol....so funny here...
 
mmmmh napi
ta ntakuja mwaka 2100
 
Natafuta mke wa kuoa umri kuanzia miaka 30. Aliye serious ani contact
 
Natafuta mke pia umri 18_24 aliye tayari ani pm
 
Siku ukiolewa leta mrejesho... Maana naona dalili za kuzalishwa watoto wanne kila mtu na baba yake.

Mtazamo tu
 
Watafuta woume/ wake wawekewe thread moja wote wakutane hapo
 
Unachezea bahati wewe. Unakataa mwalimu wa p/r. Hujui kuwa ndo wana maadili. Mtoto wa kiume kuweza kule vile vitoto vya shule ya msingi sio kazi ya kizembe. Saiv tuna changanya tu. Bababa dactari mama mwalimu. Ukigeuza upande wa pili baba mwalimu mama engineer. Patamu hapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…