Natafuta mume aliye serious

Wauza kahawa vepeeee? Au nao hawatakiwi?
 
KIBAYA CHAJITEMBEZA...
Umedoda dada!.Hadi unakuja kutafuta wanaume humu?!.
Maana yake umetafuta kazini kwako,mtaani kwako UMESHINDWA.
In african cuture...dada hatafuti ila anatafutwa.Mwanaume raha yake ni pale anapomhangaikia mdada for months ndo ampate.....
Hata ukipata mwanaume toka humu atakuja akuchungulie tuu umetumika kiasi gani afu anasepa.
ACHA DHARAU.
Kuna walimu wa primary wana life bomba kuliko professor.Asiwe mfupi;wewe ulijiumba?.MBONA unaombwa kutongozwa/tongoza?.

NI SAA YA MABADILIKO,ACHA KUTONGOZA;ANDAA KIKATIO
 
Bado hajapatikana, ukija kwenye pm jielezee wasifu wako wote, usiache namba tu, usipo jielezea kwa kirefu ukaacha namba tu ctakujibu, consider your self your disqualified.Karibuni
 

Daaaaa pole sana Dada wanaume mwenyewe wa kuoa wako wapi? Siku hizi unapelekewa moto kila m1 na hamsini zake
 
Huu ni upuuzi wa hali ya juu eti walimu wa primary NO.
Mimi sina elimu ya kutosha lkn nina pesa. Nafanya biashara ya mazao mahindi na maharage pia nafanya biashara ya madini. Nipo Arusha. Nina weza kuwa nawe? kama ndio ww ndo uniPM si mimi. Kama hapana basi watafute hao wenye diploma lakini mfukoni wana sifuri. Karibu.
 

Haupo tayari kuolewa unaweza ukapata sifa zote ulizoainisha ukakosa mapenzi ya kweli kama ya msukuma mkokoteni asie na hata elimu ya lasaba mapenzi si elimu wala dini mapenzi ni kitu kinajitegemea jipange vizuri usije kuwa wa majaribio ya kuoa karibu tena wakati nwingine uzuri hapo sina Sifa hata moja kwako
 
Songea kuna mwalim wa primary ana mabasi saba na bado anaendelea kufundisha , endelea na dharau zako ndio maana hamuolewi.
 

hapo kwenye NOTE ndo umefeli kabisaa dada angu,ni bora usingesema public mngemalizana huko kwenye maPM yenu.
 
Bado hajapatikana, ukija kwenye pm jielezee wasifu wako wote, usiache namba tu, usipo jielezea kwa kirefu ukaacha namba tu ctakujibu, consider your self your disqualified.Karibuni

Utajibeba!!
 
vipi mkuu kuna kigezo hujatimiza ama nini?

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…