Hivi sie tulieishia la saba tutaoa kweli
Hivi sie tulieishia la saba tutaoa kweli
kila lakheri dada
Dada umenivunja mbavu zangu. Hilo onyo la sie walimu wa msingi hadi nimeogopa. Umejiandaaje na PM za mabazazi? Nakushauri ukitumia platform nyingine usitenge watu wa fani fulani. Na masuala ya physical appearance nayo usiyaongelee hasa hili la urefu na ufupi ambao wote tunajua ni majaliwa ya mola. Ila hili la unene na wembamba ni juhudi binafsi hilo unaweza kuligusia. Kwa kuwa umesema wewe ni mkristu nakushauri usome vitabu vya mchungaji Trobtich, kimoja kinaitwa LOVE IS A FEELING TO BE LEARNED, I LOVED A GIRL NA I MARRIED YOU. Vitakupa picha nzuri japo najua mapenzi hayana shule. By Mwl Mpitagwa, Mtakuja Primary School
natafuta mume wa kunioa, awe mkristo
elimu:diploma na kuendelea
Kazi: awe na shuguli yoyote halali ya kumuingizia kipato,
mwonekano: asiwe mfupi sana na asiwe mnene sana.
sehemu: awe anaishi dar, moro, pwan, tanga, moshi &arusha
umri: 28-32
WASIFU WANGU
DINI:mkristo
Umri:25
kazi: muajiriwa serikalini
mkoa: tanga
muonekano: mwembamba maji ya kunde uref cm160
Note: waalimu wa primary hawaruhusiwi
Aliye tayari na mwenye sifa ani PM