Natafuta mtu wa kusimamia supermarket

Natafuta mtu wa kusimamia supermarket

mwajum

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
40
Reaction score
10
Natafuta msichana anayeweza kusimamia supermaket yangu. Nipo Arusha, asante.

Kwa mawasiliano +255 764 222 594
 
Daaah...aiseeh. Nna shida na kazi ila Niko Dar saiz!? wish ningekuja Arusha.
Bahati haikua yangu naona!
 
Hutaki mwanaume, mwenye strong skills za sales na customer care? Yupo Arusha.
 
Hiyo supermarket inaitwaje na ipo arusha sehemu gani?
 
Natafuta msichana anayeweza kusimamia supermaket yangu. Nipo Arusha, asante.

Kwa mawasiliano +255 764 222 594

Mkuu Umenitisha Kidogo. Unataka Msichana Halafu Tena Atakayeweza Kusimamia Vizuri Supermarket Yako! Kwa Sisi Watu Wa Pwani Umeshatufanya Tusiwaruhusu Tena Mabinti Zetu Kuja Huko Arusha. Kauli Yako Kwa Huku Pwani Ni Tata Sana.
 
huyu msela anataka mademu kwa njia hii but dili lake lilishabumbuluka
 
Sema duka si Supermarket! Supermarket lini ikawa na mfanyakazi mmoja?

Nenda Nairobi uone Supermarkets, Tz tuna shusha hadhi za Supermarkets!
Bei juu kuliko uhalisia wa Supermarkets
 
Natafuta msichana anayeweza kusimamia supermaket yangu. Nipo Arusha, asante.

Kwa mawasiliano +255 764 222 594

Mkuu uwe makini huku Una 90 % ya kuopoa mtu usiyekuwa na background yake na akawa bonge la TAPELI...


Run your business wisely !! Kila la kheri
 
13815333]Dah must be a mcchana[/QUOTE]

Yuko na sababu kukataa wanaume kila kukicha wanaaiba bora mwanamke atakua na afadhali kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom