Habari:
Nimekodisha Office Space Maeneo Ya Kigamboni.
Ni Ofisi ya Kawaida ambayo inafaa kwa watu wanofanya shughuli za
- Clearing and Forwarding
- Consulting
- Advertising
- Law
Na shuguli kama hizo ambazo zinahitaji tu anuani na sehemu ya kukaa kwa ajili ya kufanya shughuli zako
Iwapo wewe ni Mkazi wa KIgamboni na ungependa kuwa na ofisi ambaye tutakuwa tunashea gharama za uendeshaji ambazo ni ndogo tafadhali tuwasiliane PM.
Ofisi hii ina sifa zifuatazo:
Ina sehemu ya kukaa watu kumi kwa ajili ya kikao
Ina sehemu ya Mapokezi
Inasehemu ya Kuhifadhia kumbukumbu
Ina Land line ya TTCL
Ina wireless internet ya TTC
Ina feni
Tunaweza fanya maboresho zaidi kama tukikubaliana
Tunaweza kushare hadi watu wanne
Gharama ya kushare ni nafuu sana na unalipa mwezi kwa mwezi.
I wapo utahitaji unaweza pia kupewa Laptop iwapo hauna kwa ajili ya matumizi uwapo ofisini
Faida nyingine ni kukutana nawatu wa kubadilishana nao mawazo na kushauriana ili kukuza biashara zetu ndogo ndogo
Iwapo unahitaji sehemu ya ofisi ambayo tunaweza kushare kwa gharama naf