Natafuta mtu wa kujitolea

ajitolee kubeba mimba yako hahahah
acha ujinga hiyo email yako hukuweka altenative mail ingia hiyo kama huna nenda forgott passwodr fuata maelekezo kama yako details nyingi unazijua

wewe acha uhuni ukimwi upo
forgot password aifungui
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Endeleni mkishindwa atanijibu ni msaidie
 
Yaani mkuu hio avatar ba unavyo jibu maswali ni very same hahahaaa.

Kwa kuku saidia fasta fasta kama bado.. Nitajie email yako au ni pm ni kuulize hayo maswali kupitia email yako

Kama hutomind lakini
 
Yaani mkuu hio avatar ba unavyo jibu maswali ni very same hahahaaa.

Kwa kuku saidia fasta fasta kama bado.. Nitajie email yako au ni pm ni kuulize hayo maswali kupitia email yako

Kama hutomind lakini
okey
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…