Natafuta mtu anayefunga duka lake la nguo

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,021
Habari wakuu?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,natafuta mtu tutakae ingia nae makubaliano maalumu juu ya kuendeleza au kuuziana mzigo wa (nguo) na vifaa vya dukani kwa ambaye biashara ya duka imemshinda kwa namna moja ama nyingine.

Niko tayari kufanya makubaliano maalumu ya mauziano iwe kwa mjumbe,serikali za mitaa au hata polisi.

Kwa aliye tayari tuwasiliane pm tafadhali.
 
Tujulishe unataka kufanya biashara maeneo gani. Unaweza nitumia pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…