sisame
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 365
- 321
Wanajamvi salamu!
Mimi ni mfugaji mdogo, nipo Morogoro.
Naanza kwa kumtambulisha Sasso kwa ufupi; Sasso ni kuku chotara wa nyama asili yake ufaransa, na hutokana na jamii ya broiler. Ni kuku anaejaza nyama sana.
Najipanga kuzalisha Sasso kati ya 200 na 300 kila mwezi, wakiwa na umri wa miezi mitatu, kwa matumizi ya nyama. Hivyo natafuta mteja ambae tutaweza kuingia mkataba nikamzalishia kwa ubora wa hali ya juu na kumpelekea kwa bei tutakayokubaliana
Pia naombeni michango yenu namna ya kuingia sokoni!! Nipo tayari kuzalisha hata nikipata mteja wa kuku hamsini kila wiki ninamudu.
Karibuni wanajamvi!