Natafuta mtalaam wa Flutter

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
2,647
Reaction score
2,958
Habari watalaam.

Najifunza Dart language au flutter kama wengi wanavyoiita kwa kupitia tutorials mbalimbali za youtube. Ila kusema ukweli nimekwama, sababu hata nikichukua mifano ile ile iliyotumika kwenye youtube ni "run" kwenye laptop yangu ni bugs kibao, hata ikiwa na codeing ya mistari miwili tu na nimekopi n kupaste.

Kama kuna chuo hapa DSM naomba kulekezwa short course au pengine yupo mkali wa hii kitu itabidi nimtafute nipate ABc

Msaada tafadhali
 
Shida sio kukopi na kupesti jiulize unapesti nini na wapi.

Maswali ya aina hii unatakiwa kuweka screenshot hapa jf kama unataka majibu ya haraka, hata hivyo wapo jamaa wanaotumia hiyo flutter watakusaidia, ila ni vyema swali la aina hii liwe linaeleweka, maana tutajuaje kuwa code ulizochukua online ziko sawa, labda haufahamu kuwa unaweza kujaribu kurun code zilizopitwa na wakati kwenye codebase inayotaka code zinazoenda na wakati ukapata warning au unaweza run code kwenye ide isiyokuwa na sdk husika, zingatia hayo.
 
Sawa mkuu inaelekea kuna tatizo pia kuwa code zimepitwa na wakati SDK iko fresh hilo nilikuwa sikutegemea umenifungua macho.

Imenishangaza wao wana run fresh tu mimi na paste kwangu errors kibao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…