Natafuta mtaalamu wa masuala ya uchumi

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Sep 20, 2020
1,636
3,808
Habari JF.

Kama kuna mtu yeyote ana Degree, Master au hata PHD ya uchumi naomba tuwasiliane.

Lakini pia kama mtu yeyote ana uelewa juu ya masuala mbalimbali ya uchumi naomba anitafute PM

Nashukuru sana.
 
Kuna uchumi level ya kitaifa na kimataifa (macro economy) na uchumi level ya mtu mmoja au vikundi (micro economy)
 
Back
Top Bottom