Natafuta mtaalam wa mapishi

jamesmmassy

Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Jamani natafuta mwenye utaalam au mtaalam wa maswala ya mapishi ya vitu adimu adimu kama vile cake za aina tofauti, na bites bites za aina tofauti, n.k, tufanye kazi kisasa zaidi.

Unaweza kuweka mawasiliano yako hapa then nitakutafuta.
 
James Mmassy,
Yaani mtu akuwekee namba hapa ???
 
unahitaji mtu wa kumuajiri au unataka mtaalam akufundishe? nipo hapa na rafikiyangu amesomea mapishi aina zote had hizo cake na ana mashine ya kukandia ngano. yeye anataka kufanya jioni tuu.kama vipi nipm muongee kwa kirefu zaidi
Hapana sihitaji kufundishwa, nahitaji mtu wa kumuajiri au wa kufanya nae kazi kama share kwa makubaliano maalum
 
Nilisahau kitu muhimu jamani, napatikana dar es salaam , magomeni mapipa, kwa sasa niko safari, nikirudi nitaweka no. tuwasiliane kwa aliye tayar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…