Natafuta Msichana wa ndani

Natafuta Msichana wa ndani

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,098
Reaction score
10,934
Wadau natafuta msichana wa kazi,awe na waadhamini wa kuaminika
 
Leo cku ya ibadaa lazima utambue thamn ya MTU unayeenda kumuuabudu na sababu gan ilikufanya umukaribishe maisha mwako ?
 
Huo mshahara utaishia ktk vocha za sim tu
Chief
Kwani wanalipwa bei gani mkuu ,mbona hata wadogo zake MASAMAKI Wanawalipa hivyo...kumbuka yuko secured afya,mavazi ,malazi, bla kutaja chakula! Mkuun tuwe wakweli ni hawa watu wanawatesa na kuwabagua ndio wanaharibu...otherwise kwangu ekfu 60 ataishi maisha mazuri kuliko wafant=yakazi wa makampuni ya ulizi .a na usafi wanailipwa 100,000/- !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom