Natafuta msichana wa kuoa...

Weweeeee ukimwi ni Nouma achana na maneno ya ushauri nasaha ukimwi =Kifo
Acha uoga wewe kifo kipo tu zipo ajali nk tena huyo ndo anatulia kweli kweli au katafute kahaba umtulize mkuu kuliko hao unaowawazia PASUA KICHWA TENA JF duuuh
 
Acha uoga wewe kifo kipo tu zipo ajali nk tena huyo ndo anatulia kweli kweli au katafute kahaba umtulize mkuu kuliko hao unaowawazia PASUA KICHWA TENA JF duuuh
Ukimwi ni nouma
 
Ha ha ha ha Gabo unanisaidia mistari powa bana
Bro mbona huyu wako..tia maneno yenye ladha tu siunajua mwanamke na maneno matamu.
BTW siitwi Gabo.
 
Masharti kama mganga wa kienyeji!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…