Mwanamke mweusi ni bidhaa adimu sana siku hizi kupatikana,anyway kila la kheri mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
We tutake radhi, tupo tumejaa teleMwanamke mweusi ni bidhaa adimu sana siku hizi kupatikana,anyway kila la kheri .
Jaribu kumucheki huyu maana nae anatafuta,mnaweza kuelewana
I need a boyfriend
acha mi napenda wanawake weusi wafupi wembamba!yaani nikiona napatw butwaa.ukipata uweke picha nimemiss kuona sasa hivi kila nikutana nao weupe wanamakalio makubwa
Na wapo wachache mkiona muweke pichaacha mi napenda wanawake weusi wafupi wembamba!yaani nikiona napatw butwaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kweli ngoja nimfuate huku huko