Natafuta msaidizi wa ndani

Natafuta msaidizi wa ndani

boyayoparuparu

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
343
Reaction score
82
Natafuta msaidizi wa shughuli za nyumbani, awe msafi na mwaminifu, si vibaya akawa mzoefu, kazi atafanyia Morogoro mshahara ni makubaliano.
 
Natafuta msaidizi wa shughuli za nyumbani, awe msafi na mwaminifu, si vibaya akawa mzoefu, kazi atafanyia Morogoro mshahara ni makubaliano.

Msichana au Mvulana?
Umri?
Maskani? (kwako au ataishi kwake)
Kiwango cha chini kabisa na kiwango cha juu kabisa cha mshahara
 
Umri uanzie miaka 18,msichana ndio hasa ninaemtafuta isipokuwa nikimpata mvulana mwenye uzoefu nitamchukua,yaani ajue kazi zote za ndani,ataishi kwangu huduma zote muhimu mfano chakula nk atapata.mshahara ni makubaliano kati yangu na yeye
 
Natafuta msaidizi wa shughuli za nyumbani, awe msafi na mwaminifu, si vibaya akawa mzoefu, kazi atafanyia Morogoro mshahara ni makubaliano.
nenda kwa instagram kuna dada anao mfolo housemaids_tz
 
Last edited by a moderator:
Natafuta msaidizi wa shughuli za nyumbani, awe msafi na mwaminifu, si vibaya akawa mzoefu, kazi atafanyia Morogoro mshahara ni makubaliano.

kama upo serious nipigie tuongee 0777409423...sio muhusika bt kuna ndugu yangu alikuwa anahitaji kazi za ndani..ana miaka 18 exactly kaishia form 2..uzoefu anao coz aliwah kuwa dada wa ndani huko moshi...uaminifu nakuhakikishia ni 100%...mimi nipo morogoro nasoma...so ni vizuri tukawaciliana ili niyajue mazingira ya kazi kabla cjamtaarif..
 
Nina miaka 35 nina mtoto nipo morogoro naitaji kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom