Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,937
Vigezo na Mashart Kuzingatiwa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Weka picha ukiwa umesimama, ya kwanza uangalie mbele ya pili uangalie nyuma, Thanks in advance
We mama, hebu baki na huyo mzazi mwenzio aiseeee......Nilimpenda mwanzo kwa mambo anayonifanyia cmuitaj tena
Ukiona nimeamua kutafuta ujue nimechoshwa
Hakuna mwenye nia hapa aiseeee.... humu tumejaa mabazazi.We mvaa tai kama unania ni pm
Ona sasa...[emoji23] [emoji23]Hii mpya!! Unataka kupanda kabla ya kukata?
Cjakuelewa
kwel kabisaHakuna mwenye nia hapa aiseeee.... humu tumejaa mabazazi.
huyu ata tawanywa miguu, kisha atakuja na uzi mwingine wenye heading ya (OGOPA WANAUME WA JF)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwel kabisa
hayuko siriaz ayseee kama yuko serious atawapatahuyu ata tawanywa miguu, kisha atakuja na uzi mwingine wenye heading ya (OGOPA WANAUME WA JF)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hapana kuna watu humu yawezekana kabisa tukawa tupo serious ila yeye asiwe serious,,, ni bora awe serious bhanaMsimkatishe tamaaa jaman
Duh! kazi kwelikweliHi !
jaman natafuta mpenz umri wowote kikubwa 2pendane
Mm ni mama wa mtoto mmoja umri wangu ni 23 ninaish na baba wa mtoto lakn c ndoa rasmi
Aliyetayar ani pm ili kujuana zaidi
Hata mie nimehis kitu [emoji115] [emoji115]wanawake wengi humu waongo waongo wanafanyaga mizaha ndo maana wanakuja na ID MPYA
mtu anaishi na mume wake halafu anasema anatafta mpenzi si utani huuHata mie nimehis kitu [emoji115] [emoji115]
Uko wapiUkiona nimeamua kutafuta ujue nimechoshwa