Hell2Heaven
Senior Member
- Mar 3, 2021
- 173
- 465
Tena inatuna hasa.. tatizo nikisha anza kufikiria Malengo yangu na aina ya maisha niliyo ipanga kichwani mwangu akili yote inaanza kuwaza michongo ya pesa. na nikiwa napambana kwenye mambo ya bishara huwa siwazi ngono kabisaMkuu asubuhi huwa unaamka boxer imetuna??
Wewe utakuwa na upungufu mzee ...
Vipi kuhusu hela unawapa ama? Au hupendi papuchi tu?Hello guys!
Natafuta bint wa miaka 25-28, elimu form6 mpaka chuo, lengo ni kuanzisha uhusiano na mwishoe tuoane.. ila Moja ya mambo ambayo sipendi sana ni ngono za mara kwa mara.. naamini mapenzi ni zaidi ya ngono kuna furaha zaidi kwakupeana upendo wa mambo mengine kuliko ngono za mara kwa mara..
Umri wangu 35
Elimu yangu Degree( Ila nimejiajiri)
Kabila mchaga,
Naishi Dar es salaam,
Nieleweke vyema mm ni rijali tena sana tu ila sina asili ya kupenda ngono kivile yaan mm na weza kumaliza mwezi sina mihemuko ya kushobokea ngono ingawaje Kila week ukitaka sina shida.. na tukikutana nashughulika haswa mpaka utakimbia ila staki hilo tendo kila mara.
Naamini katika Maendeleo zaidi na kuzaa na kulea watoto.( Kama wewe unapenda sana Sex mimi siyo Chaguo lako?
Idadi ya watoto nitakaye zaa naye ni wa3 tu.. kama unataka zaidi siko tayari lengo langu wanangu wapate huduma zote kwa ufanisi (Elimu, Afya, Mavazi na makazi toshelevu) na nimejitadhimini idadi ya wa3 ndio Uwezo na msimamo wangu.
Kabila la bint liwe lolote .
Ukiwa interested njoo DM kukoment sana kwenye Thread hakuna afya njema kwa post yangu.
Kaka umeandika point nzuri sana.. asanaZaa watoto wengi, wapeleke shule za kawaida, mwenye akili msapoti asome mpaka mwisho, asiye na uwezo mzuri darasani msapoti azijue mishe za kusaka pesa mtaani(biashara).
Mwisho wa siku utajikuta una watoto ambao wapo kila sekta, na you will be proud of very meaningful life.
Shida yetu siku hizi tumekariri watoto lazima wasome english medium, kisha secondary waende st something. Mwisho wa siku tunajikuta watoto wote wapo sekta moja ya kusubiri kuajiriwa. Ajira zikibuma wote wanakaa nyumbani tuu na kukuongezea bili.
Allow your children to explore their own potential.
Kwamba wachaga hatukuzaliwa na uume au unaongwa Nini?Kumbe we mchaga, ndio maana hutaki demu mpenda ngono unajua fika utagongewa mnooo [emoji23][emoji23]
Sio kweliz wapenda ngono sanasana mara nying wakisex wanaenda kamoja, hvyo biologically hutafta mwingine ili waende tena wasex zaidi, ila kama ukisex unasex bao za kutosha nyinginyingi kama tano au sita, mara nying baada ya kusex unakaa mda mref bila sex, ata mim nikisex kamoja hupata ham ya kurudia haraka kulko ukimwaga nyinginyingiRekebisha kauli yako kaka kabla hujaendelea. Urijali unaambatana na kupenda ngono kwa mwanaume yoyote!
Kwa mwanaume rijali kataa kubali wewe una mapungufu, ni nature tu usini quote vibaya
All in all, nakutakia mafanikio mema kwa ombi lako
Mmmh hapanaWe ndo mwanaume sasa