Icon Special
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 257
- 230
Muwe munajionesha sometimes, coz hii kibubu tu inacost Unaweza kujicoki clear then ukakuta mtu shapeless, my sister hapo utacoz nikucheat afu pia ntakuwa nimekuta loss ya kukutafuta na kuloose time yanguHabar!ninaishi dar,I’m 28 years old christian,Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.thanks.serious issue pls.kama una utani kaa pembeni.nimechoka upweke Loh.
Nb:uwe mwaminifu sio kujileta na madudu yako me too I’m tired of those madudu[emoji29]
Note!!mume lazima awe mkristo tena mcha Mungu will be my first priority,na umri kuanzia 32 plus na sijabagua wa mkoa wowote nimesema ajili ya ukaribu...and I’m too busy so ukija kwangu maanisha maana sina mda wa kuanza kufanya hili ama lile!
Karibu.
Kweli mkuu, wanakuwaga na nyodo kipindi hicho na dreams za kuolewa na wanaume matajiri. Umri ukiyoyoma wanaanza kutongoza wanaume. Nilikua naye na mm, kila Mara hunitongoza wkt tulisha achana. Ni kumkosea heshima mwenza wako kuwa in last choice au option. Yaan unakuwa bora Mume. Nivizuri kuwaheshimu wapenzi wenu wa Muda mrefu. Kuna jamaa dem alimtosa na kuolewa kiss jamaa bado anasoma, jamaa kamaliza kaoa na mambo mazuri mwanamke kaanza kujitongozesha na uhusiano unaendelea, hii nihatari. Wanawake wana akiri fupi, wanaume tuwe making na huwa hawaachagi wapenzi wao wa zamani hata wakiolewa.kama nakuona ulivyokua unaringa enzi za 18-25
Upo state gani ili nimtafutie binti yangu?? hahaha natania.Madudu ndio vitu gani.????
tuache hayo, nipo hapa Mume unaenitafuta, tulizo la moyo wako.
fanya unitafute whatsapp +1 423 8100490
Hiyo Last option ndo wanaume wengi hawaitaki, na akikusoma km unataka kuolewa naye sababu umekosa uliye mtarajia, matatizo yanaanzia hapo. Utajuta. Tuanze kuwafunza watotowetu elimu kuhusu mahusiano, inauma sana binti anafika 50 hajaolewa. Kuolewa sio bahati tunakuaga na malengo makubwa sana wkt ndoa ni maisha ya kawaida unaweza anza na kijana umpendae. Tunaita bahati km yule Dada alieolewa na mtoto wa Malkia wa Ungereza. Ukifikiri mwenye pesa ndo Mr right, unakuja juta uzeeni na kwa idadi wanawake ni wengi almost twice ya wanaumehahaha eti mzee mzee
kuna muda wa kutumiana na inafika stage ya mtu kuamua kusettle na mtu mmoja na kujenga nae maisha
mfano mdogo ni kama hapo mtoa ameshajiamulia atafute last opt asettle nae life liendelee
I am too tired of those madudus,Habar!ninaishi dar,I’m 28 years old christian,Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.thanks.serious issue pls.kama una utani kaa pembeni.nimechoka upweke Loh.
Nb:uwe mwaminifu sio kujileta na madudu yako me too I’m tired of those madudu[emoji29]
Note!!mume lazima awe mkristo tena mcha Mungu will be my first priority,na umri kuanzia 32 plus na sijabagua wa mkoa wowote nimesema ajili ya ukaribu...and I’m too busy so ukija kwangu maanisha maana sina mda wa kuanza kufanya hili ama lile!
Karibu.
Upo state gani ili nimtafutie binti yangu?? hahaha natania.
Nilikuwa natania mwenzio ana mchumba hivyo mezea.Nitafute tu kwa hyo namba wewe pamoja na binti yako hehehe
anza hiyo elimu na mie mdogo wako😉Hiyo Last option ndo wanaume wengi hawaitaki, na akikusoma km unataka kuolewa naye sababu umekosa uliye mtarajia, matatizo yanaanzia hapo. Utajuta. Tuanze kuwafunza watotowetu elimu kuhusu mahusiano, inauma sana binti anafika 50 hajaolewa. Kuolewa sio bahati tunakuaga na malengo makubwa sana wkt ndoa ni maisha ya kawaida unaweza anza na kijana umpendae. Tunaita bahati km yule Dada alieolewa na mtoto wa Malkia wa Ungereza. Ukifikiri mwenye pesa ndo Mr right, unakuja juta uzeeni na kwa idadi wanawake ni wengi almost twice ya wanaume
Hongera yao hao wadogo zakoDaaa! lovee kipenzi hapa kuna namba za simu moja tu nimeona angalau . kajitahidi sijui hii mitoto mingine ya Jf. ikoje yaani yameonaona tu basi mimi nawaasa huyu dada yuko serious. chukueni mke huyu jamani mtajuta nyie hayaa! jamii forum kuna wake bomba sana.wadogo wangu wanne wamepata humuhumu.
Acha utani mkuuJana umeona watu wamevaa nguo nyekundu wanalanda-landa na maua... umeona isiwe taabu nawewe utafute wako...
Sent from my iPhone using JamiiForums