Natafuta mme


Hahaha. Nawachanganyia habari.
Unamchanganyia nani?
 
Signature gani?

Jj huwa anaushuka ung'eng'e ni vile tu haujajua. Sasa huyo mvurugaji kamuruga naona kikapanda vizuri.
haha
Hiyo ya nawachanganyia habari. Huwezi kuona kama unatumia app
 
Shemeji si umeniahidi mwenyewe kuwa ukinena unanipa pesa.
Shemeji huo ni ubakaji wa mawazo...
Naona kwako kila neno linasomeka pesa. Watoto wetu wanashida saana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…