Natafuta mme mwema


duu! miaka 32 ni bint bado!
 
Ila jmni hayo majibu mmh sasa mtu anataka mme mbona mnamshambulia jmni kam hautaji au unae tayari si unyamaze tu duuh
 
ushauli uctafute mme kwenye mtandao biblia inasema mme au mke mwema hutoka kwa Bwana hivyo funga nakuomba ukiamin mungu atafanya ukiona ni mzigo mzito washilikishe wale unao waamin ikiwa ni pamoja na mama mchungaji wako.god is good every time usikate tamaa
 

Nipo hapa mwaya
 

Don't judge the book by its cover kumbuka hii ni dunia nasi tunasafiri usijione umefika hapo ulipo rafiki yangu
 

"kumbe mke mwema anatoka kwa BWANA" ngoja nisubiri mwanamke aliyeachika toka kwa bwana ndiye nitakayemuoa
 
kama una mtoto wewe ni mke wa mtu
 
Kwangu mimi ume over qulify, ila nakutakia kila la kheri umpate yule atakaye endana na haja ya moyo wako...
 

Kwani BWANA hayupo kwenye mtandao?
 
Wanaume wema tupo bize na Ukawa dada,kwa sasa utapata hawa matapeli,wezi kutoka ccm,ushauri tu rudi hapa november tukishaiua ccm
 

Ungewaka angalau kapicha ingekuwa rahisi kumpata humu humu maana tupo kibao tu
 
Picha ww usituuzie mbuzi kwenye gunia usije ukwa na sura kama tyle kiongozi wetu anesuka nywele za twende kilioni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…