Natafuta mkufunzi wa security guard

abuuzahraa

Member
Joined
Aug 13, 2009
Posts
24
Reaction score
9
Shirika letu la Sadiq Foundation lenye makao yake makuu Dar es salaam linatafuta mkufunzi wa mafunzo ya ukakamavu kwa vijana wetu wa ulinzi.
SIFA ZA MUOMBAJI;
1. Awe Askari polisi au Mwanajeshi mstaafu mwenye uzoefu na mafunzo ya ukakamavu zaidi ya miaka 10
2. Awe hajawahi kutuhumiwa na kosa lolote la jinai.
3. Awe na Afya na Siha bora kuweza kutoa mafunzo.

WASILIANA NASI KWA
E-mail: asadiqmedia@gmail.com:thumbup:
 
watu ham,pendi kazi za ulinzi hamjapost chochote
 
Si ukamchukue kova au kamhanda?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…