CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 156
Mkataba anatoa mkopeshaji ambao huridhiwa na mkopajimzee una mkataba wa kisheria?
kiwanja kipo wapi mkuuMkataba anatoa mkopeshaji ambao huridhiwa na mkopaji
kiwanja kipo wapi mkuu
kama una collateral na documents, si uende kukopa benk mkuuOh, hiyo sikusema?
Kipo Majohe - Ilala.
Actually ni kiwanja kimoja kati ya viwanja vyangu vitatu vilivyopo eneo moja, ambapo viwili vina nyumba na hicho ninachotaka kukitumia kama collateral kina fence na kuna banda lilikiwa la ng'ombe.
Ninaishi katika eneo hilo.
Kuna document ya mauziano ya viwanja vyote hivyo.
kama una collateral na documents, si uende kukopa benk mkuu
Check response ya juu kabla ya post yakoSasa kama una collateral kwa nini usiende kukopa bank?
Wakuu habari zenu?
Nahitaji mtu aniazime 2.5M tu.
Nakurudishia 3.5M before or within 5 months (before or on 29th Feb 2020).
Nisipoweza uchukue kiwanja changu chenye thamani ya zaidi ya 7.5M kutokana na vitu vilivyomo na thamani yake kwa ujumla.
Nina shida nayo sana!
Naomba msaada nitatue changamoto hii, lakini pia na wewe utapata 1.0M in return
0789626574
Kiwanja kina ukubwa gani mkuu?Nimeamua kukiuza kiwanja.
Nahitaji 6M
Anayehitaji anipigie kwenye 0789626574 tuzungumze.
Kiwanja kina ukubwa gani mkuu?
Nakushauri ungeanzisha uzi mwingine kwaajil yakuuza kiwanja ungepata wadau fasta sana ....Kiwanja kina ukubwa wa 27mx20m...
Thamani ya kiwanja kwa sasa ni zaidi ya 7.5M ...
Nilikinunua kwa bei ya juu kuliko thamani yake halisi kwa sababu nilimvua mtu aliyekinunua kwa 4M (ambayo ndiyo gharama halisi ya kipindi hicho).
Nilimvua kwa sababu kinapakana na kiwanja changu na nilihitaji kuongeza eneo na wakati mwenye kiwanja wa mwanzo anauza sikuwa na pesa.
Kina fence ya wire, gate, banda kubwa la la kisasa la ng'ombe linatosha kufugia ng'ombe 10 (nilikuwa na mpango wa kuligeuza liwe banda la kuku 1,500-2,000).
Kuna miembe 2 ya kisasa.
Kiuhalisia eneo hilo lilishakula zaidi ya 10M.
Mchakato mrefu sanakama una collateral na documents, si uende kukopa benk mkuu
Nakushauri ungeanzisha uzi mwingine kwaajil yakuuza kiwanja ungepata wadau fasta sana ....
Kuna umeme huko?