Mke huyo wa dini gani au yoyote tuu as long as ni mke? ebu basi jitambulishe zaidi unafanya kazi au umejiajiri yani mambo kidogo yakumtia mtu nguvu ajue uko serious.....
hahhahah sa ndo maswali gani haya miss chagga
Wee Chagga Miss, Please usiwatishe watu.... ha ha ha, yaani hawajui dawa zipo siku hizi? na Kifo mkononi unakitoa wewe siku hizi?!! Khaah..usijekuta anatafuta mtu wa kumlea .. Wengi wakipata sukari hawafunction kitandani... Kama anapresha aisee kifo mkononi mda wowote unakuwa mjane
Wee Chagga Miss, Please usiwatishe watu.... ha ha ha, yaani hawajui dawa zipo siku hizi? na Kifo mkononi unakitoa wewe siku hizi?!! Khaah..
usijekuta anatafuta mtu wa kumlea .. Wengi wakipata sukari hawafunction kitandani... Kama anapresha aisee kifo mkononi mda wowote unakuwa mjane
Asipofunction si ndo vizuri upumzike na wew... kwan lazima kugegedwa!!!!
Mmmh, Still wazidi kututisha !! Kwani nani hapa nchini hatumii dawa ?!! Tafadhali tafakari na uonavyo wewe, Nani asiyeConsume medecine nowadays ?!!!!!hapana aisee ukiona mtu anatumia dawa mda mrefu ini kufeli mda wowote mimi siwatishi.. utasema utarithi mali lakini mali ya kurithi raha uuijue jue nisiseme zaidi aku
Mmmh, Still wazidi kututisha !! Kwani nani hapa nchini hatumii dawa ?!! Tafadhali tafakari na uonavyo wewe, Nani asiyeConsume medecine nowadays ?!!!!!