Natafuta mke!

RAYMOND TULI

Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
11
Reaction score
7
Ndugu wadada natafuta mke wa kuoa kupiia katika mtandao huu aliye tayari tuwasiliane! NB. msinishambulie kwa llugha chafu hayo ni mawazo yangu usipopendezwa tafadhari endelea na kazi yako.
 
hahahahahahah mbona unajihami mkuu ungeweka vigezo kwanza vyako na vya umtafutae
 
vigezo vinahusika kati ya yule anenitafuta na mimi maana watu hatuko sawa ndugu yangu! mi nina miaka 27 hicho nakuambia wewe tu!
 
Ndugu wadada natafuta mke wa kuoa kupiia katika mtandao huu aliye tayari tuwasiliane! NB. msinishambulie kwa llugha chafu hayo ni mawazo yangu usipopendezwa tafadhari endelea na kazi yako.
Mimi sikushambulii ni haki yako kikatiba hata katiba mpya imewekewa hilo pendekezo
Shida yangu mimi ni lugha tuu basi ! Mke maana yake ni mwanamke ambaye tayari keshaolewa hivyo huwezi kumpata. Labda ungeandika natafuta mwanamke wa kuoa hapo utaeleweka vizuri sana , nakutakia mafanikio mema inshallah kama yupo aliye serious atajitokeza tu. Kumbuka kila shetani kaumbiwa mbuyu wake
 
Ndugu wadada natafuta mke wa kuoa kupiia katika mtandao huu aliye tayari tuwasiliane! NB. msinishambulie kwa llugha chafu hayo ni mawazo yangu usipopendezwa tafadhari endelea na kazi yako.

Tangazo gani hili mkuu? Wewe una sifa zipi? eleza na sifa za umtakaye? usisahau masula ya umri, elimu, kazi n.k!!! Sasa wewe tangazo general kiasi hiki hata wa miaka 50 unataka? Katika tangazo unaji advertise ati!!!
 
kaka mkubwa, mwanamke mwema hutoka kwa mungu. jitahidi katika sala zako usisahau kumuomba mungu akupe mke mwema,
 
kwanza weka qualifications za huyo mke mtafutwa! pili: eleza general objectives na specific objectives vote hivo viendane na statement of the problem ya kutafuta mke then ni pm hah hah!!
 
PM zitamiminika kuwa mvumilivu hapo juu usiongee sana, vumilia kejeli na wala usijibishane na watu, hapa wahusika wakuu watapita kimya
 
Ndugu wadada natafuta mke wa kuoa kupiia katika mtandao huu aliye tayari tuwasiliane! NB. msinishambulie kwa llugha chafu hayo ni mawazo yangu usipopendezwa tafadhari endelea na kazi yako.

sina shida na lugha yako wala siwez kukushambulia nakusaidia tuu kukuonesha waliko,,,
nenda CRDB kando kidogo ya atm yao ndo alipo kaniambia nkuelekeze utapompata
 
hahahaaaa sometimes muache utani kwenye maskhara...!!!!
Kaka jr.
I say, ivo utani kwenye masikhara ni kama uhakika kwenye ukweli !!? Huyu mkuu yuko fit sana .. na muda mrefu sijaona post zake !! ndo maana namuuliza, wajua kuna watu wengine wana vipaji na heshima JF...!
 
sichagui elimu aliyonayo awe tayari kuolewa na mimi mzuuri awe na umri kuanzia miaka 23 na si zaidi ya miaka 27!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…